MAGARI YA KITALII YA TANZANIA RUKSA KUINGIA UWANJA WA JOMO KENYATTA: WAZIRI MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu makubaliano ya pamoja yaliyofikiwa kati ya Serikali za Tanzania na Kenya juu ya kuruhusu tena magari ya kitalii ya Tanzania kuingia Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na kurudisha idadi ya awali ya safari za ndege za Kenya ambazo ni 42. Wengine katika picha ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Rajabu Gamaha (kushoto) na Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Balozi Irene Kasyanju.
Sehemu ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri Membe 
Sehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatlia mazungumzo kati ya Waziri Membe na Waandhishi wa Habari. Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora, Bibi Rosemary Jairo, Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Joseph Sokoine, Bw. Innocent Shiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia na Bi. Mindi Kasiga, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali. 
Wakuu wa Idara na Vitengo wakifuatilia mazungumzo ya Waziri Membe na Waandishi wa Habari ambao hawapo pichani. (Picha na Reginald Philip) 

J
OINT STATEMENT BY FOREIGN MINISTERS OF TANZANIA AND KENYA FOLLOWING THE MEETING BETWEEN HIS EXCELLENCY JAKAYA KIKWETE, PRESIDENT OF TANZANIA AND HIS EXCELLENCY UHURU KENYATTA, PRESIDENT OF KENYA HELD IN WINDHOEK, NAMIBIA ON 21ST MARCH, 2015

His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania and His Excellency Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya met in Windhoek, Namibia on 21st March, 2015 to discuss bilateral issues.

Both Presidents were in Windhoek to attend the 25th Independence Anniversary and Inauguration of the 3rd President of the Republic of Namibia, His Excellency Dr. Hage G. Geingob. Also in attendance were the Foreign Ministers Bernard K. Membe of Tanzania and Ambassador Amina Mohamed of Kenya as well as Engineer Michael Kamau, Kenya’s Transport and Infrastructure Minister.

The main issues of the meeting revolved around transport and tourism sectors. In particular, the two Heads of State discussed the decision by the Ministry of Tourism of Kenya to bar Tanzania registered vehicles from accessing the Jomo Kenyatta International Airport. They also discussed the decision by Tanzania Civil Aviation Authority to reduce the frequency of Kenya Airways flights operating between Kenya and Tanzanian Airports.

On the two issues under deliberation, the two leaders agreed on the following actions:

1. To reinstate the status quo. This means, with immediate effect, Tanzania registered vehicles will access the Jomo Kenyatta International Airport as before, while Kenya Airways will continue with its normal operations.

2. Within four weeks, Ministers of Foreign Affairs will convene and chair a meeting of the parties including Ministers of Transport, Ministers of Tourism and Chiefs of Staffs in the two Presidencies to discuss and reach a mutual beneficial agreement. The first meeting will be held in Dar es Salaam on a date to be agreed by the conveners.

The meeting was held under a very cordial atmosphere with two Heads of State emphasizing the need to continue discuss openly issues affecting the brotherly and a long-standing bilateral relationship that exists between Tanzania and Kenya.

Done in Windhoek, Namibia on 21st March, 2015.

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa