REGISTRATION IS NOW OPEN FOR IMPACT ASSESSMENT EVALUATION SHORT COURSE‏

Untitled
Venue – ESRF Conference Hall
Date - 1st-5th June 2015
Course Objective:
This course on Impact Assessment Evaluation will provide researchers, project managers, policy makers, and practitioners of development with the necessary methodology and practical knowledge to meet the growing demand for rigorous evaluation of development programmes.
Learning Outcome
In this course you will learn how to design an impact evaluation of a development intervention employing both quantitative and qualitative methods. Some of the questions you will be able to answer include:
How do we frame the right evaluation questions and choose the right indicators?
What are the best impact evaluation methodologies?
How do we go beyond simple impact assessment by assessing spill-over effects, cost-effectiveness and impact on vulnerable groups?
What are cutting-edge qualitative and quantitative methods for impact assessment?
Should there be any interest from you or your organization email us on trainings@esrf.or.tz by Wednesday 27th May 2015.
Thank you for your valuable time it is much appreciated.

BODI YA WAKURUGENZI YAANZA ZIARA MIKOANI KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA ZA NHC‏

 New Picture
Makamu  Mwenyekiti  wa  Bodi  ya  NHC Bw. Diotrephes  Mmari  na baadhi  ya  Wakurugenzi  wa Bodiya NHC wakikagua ubora wa  vifaa vya ujenzi  vinavyotumika katika ujwenzi wa jingo la kibiashara linalojengwa  na NHC eneo la Mtukula  mpakani mwa Tanzania na Uganda. Wamefurahishwanakazinzurinauborawaujenziwajengohilo la kibiashara na kuwataka wakandarasi wazingatie ubora katika kujenga jengo hilo.Katika  ziara hiyo yupo Mkurugenzi wa BodiBw. Samson Kassalana Charles Mafurua mbaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Nyumba, katika Wizaraya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
New Picture (1)
Makamu  Mwenyekiti  wa Bodi ya  NHC Bw. Diotrephes  Mmari  na baadhi  ya  Wakurugenzi  wa  Bodiya NHC wakiendelea kukagua jingo la kitegauchumi  linalojengwana NHC eneo la Mtukula  Kagera.
New Picture (2)
Meneja Mkoa wa NHC Kagera Bw. Ng’aranga Magai akito ataarifa ya utekelezaji kwa Makamu  Mwenyekiti wa Bodi  ya NHC   Bw. Diotrephes  Mmari  na baadhi  ya Wakurugenzi wa Bodiya NHC muda mfupi baada ya Bodi hiyo kutembelea mradi wa ujenzi wajengo la biashara linalojengwa na  Shirika  eneo la Mtukula  Mkoani humo.
New Picture (3)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na baadhi ya Wakurugenzi wa Bodi ya NHC walipowasili kukagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Wilayani Muleba ambazo ziko katika hatua ya mwisho ya kukamuilika.
New Picture (4)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari akitoa maelekezo kadhaa kwa watendaji wa NHC alipotembelea mradi wa nyumba za kuuza za bei nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Muleba.
New Picture (5)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakikagua nyumba za malazi za NHC zilizopo Wilayani Chato muda mfupi baada ya kuwasili ukitokea Muleba kukagua mradi wa nyumba za gharama nafuu uliojengwa Wilayani humo na Shirika.
New Picture (6)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakiendelea kukagua nyumba za makazi za NHC Wilayani Chato na kusikiliza baadhi ya wapangaji wa nyumba hizo za ghorofa.
New Picture (7)
Msimamizi wa mradi wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Bombambili Geita Injinia Julius Ntoga akitoa maelezo ya hatua zilizofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo ambao umeshakamilika kwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC. Mradi huo uko katika hatua za mwisho za kukamilika.
New Picture (8)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakiendelea kukagua mradi wa nyumba za gharama nafuu unaotekelezwa na NHC Mkoani Geita.
New Picture (9)
Meneja wa NHC Mkoani Mwanza Injinia Benedict Kilimba akitoa maelezo ya jengo kubwa kuliko yote la kitegauchumi linalotarajiwa kujengwa Jijini Mwanza kwa ushirikiano wa NHC na Benki ya Rasilimali (Investment Bank) kwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake.
New Picture (10)
Makamu Mwenyekiti wa Bodiya NHC Bw. Diotrephes Mmari na Wajumbe wengine wa Bodi ya Wakurugenzi wakiwasili eneo la Buswelu Jijini Mwanza kukagua utekelezaji wa ujenzi wanyumba za gharama nafuu unaofanywa na Kampuni ya Kiure Investment kama mkandarasi mzawa. Wajumbe wa Bodi hiyo wamesikitishwa na hatua ya mamlaka za maji, umeme na barabara kuacha jukumu lao la msingi la kuweka huduma hizo katika miradi ya nyumba inayojengwa na NHC hali inayoongeza gharama. Wameahidi kulisukuma jambo hilo kwenye mamlaka  husika ili zitekeleze jukumu lao.
New Picture (11)
Ujumbe wa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. DiotrephesMmari ukiendelea kukagua nyumba za gharama nafuu eneo la Buswelu ambapo wamemtaka mkandarasi kuzingatia viwango na ubora katika ujenzi ili wakandarasi wazawa waendelee kuaminiwa na Shirika.
New Picture (12)
Ni eneo la Buhare katika Manispaa ya Musoma ambalo linajengwa nyumba za gharama nafuu na NHC kwaajili ya kuuza. Hapa  NHC Bw. Diotrephes Mmari naWajumbe wengine wa Bodi yaWakurugenzi akiwemo Samson Kassalana Charles Mafuru wanakagua utekelezaji wa mradi huo.
New Picture (13)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakihitimisha kukagua mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la BuhareManispaa ya Musoma.
New Picture (14)
Makamu Mwenyekiti wa Bodiya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakikagua jengo la biashara la Mukendo Commercial Complex lililojengwana NHC Mjini Musoma ambalo limeshakamilika na kupangishwa kwa wafanyabiashara ikiwemo benkiya NMB.
New Picture (15)
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Bw. Diotrephes Mmari na ujumbe wake wakiwendelea kukagua eneo la ghorofa za juu katika jengo la NHC Mukendo Commercial complex, Mjini Musoma.
New Picture (16)
Makamu Mwenyekiti wa Bodiya NHC Bw. Diotrephes Mmari akiongea na wafanyakazi wa NHC Mkoawa Mara katika Hoteli ya Setavila Mjini Musoma nakusisitiza nidhamu na uadilifu katika utumishi wao ndani ya Shirika.
 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa