NEWS:ABIRIA WANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE MJINI BUKOBA LEO



Watu kadhaa wamenusurika kufa, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria mali ya Shirika la Ndege la Auric Air kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba, Mkoani Kagera ilipokuwa ikitua. Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutokea Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30, 2016. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. Pichani ni Rubani wa Ndege hiyo akiwasaidia abiria wake kutoka kwenye Ndege hiyo.  
Chanzo Michuzi Media Group


 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa