Watu
wanne wanasadikiwa kufariki dunia baada ya Basi la Kampuni ya Sabuni Express
linalofanya safari zake kati ya Karagwe na Mwanza kugongana uso kwa uso na Gari
ndogo aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa imebeba Masister eneo la
Bugorora,ikitokea Bukoba mjini kuelekea Mutukura.
Baadhi ya miili ya marehemu waliofariki katika ajali hiyo
Askari wa Usalama barabarani akiwa eneo la tukio.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi