Waziri
Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na watumishi wa serikali, viongozi
wa dini na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Kagera akiwa yupo
mkoani humo katika ziara zake za kukagua shughuli mbalimbali za
maendeleo.
Home »
» Majaliwa azungumza na watumishi wa serikali, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo wa mkoani Kagera
0 comments:
Post a Comment