Idhaa
ya kiswahili ya DW hapa nchini inapenda kuwataarifu kuwa Wapendwa wake
na watumiaji wa ukurasa wetu wa Facebook na wasikilizaji kwa jumla.
Kuna
ujumbe unaosambazwa kwa njia wa Whatsapp katika mitandao ya kijamii
kwamba DW inakusanya maoni kuhusu wagombea wawili wakuu wa uchaguzi wa
Tanzania, John Magufuli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Edward Lowassa
anayewakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Tungependa
kuwajulisha hatufanyi utafiti wowote wa maoni kuhusu wagombea hao.
0 comments:
Post a Comment