Home » » RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA (RAS) KAMISHNA DIWANI ATHUMANI LEO IKULU DAR ES SALAAM

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU TAWALA WA MKOA WA KAGERA (RAS) KAMISHNA DIWANI ATHUMANI LEO IKULU DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na  Kamishna Diwani Athumani pamoja na viongozi waandamizi wa serikali na vyombo vya ulinzi na usalama umma   baada ya Kamishna Diwani kuapishwa  kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.

PICHA NA IKULU

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa