Flaviana Matata akikagua Choo cha wanafunzi kilichojengwa na FMF kwa msaada wa wadau.

MSINUNE
Taasisi ya Flaviana Matata ilizindua rasmi msimu wa "BACK TO SCHOOL" kwa
kutoa vifaa vya shule kwa jumla ya watoto 270 wa Shule ya Msingi
Msinune ambayo ipo chini ya ulezi wa mwanzilishi wa #FMF na mwanamitindo
wa Kimataifa Flaviana Matata.
Zaidi ya kutoa vifaa vya Shule Flaviana Matata Foundation kwa
kushirikiana na wadau wamefanikiwa kujenga choo na waalimu na wanafunzi
shuleni hapo.
0 comments:
Post a Comment