MAMIA ya Watu wamejitokeza kwa wingi kumzika mpendwa wao Leonard Mutensa siku ya Jumamosi Nov 22, Nyumbani kwake Kyakailabwa nje kidogo na Mji wa Bukoba.
Mwili wa Marehemu Leonard Mutensa ukiwaumebebwa tayari kwa mazishi huko nyumbani kwake Kyakailabwa nje kidogo na Mji wa Bukoba. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.comJeneza lililokuwa na mwili wa Marehemu Leonard Mutensa likiwa limebebwa na Vijana Maalum walioteuliwa kwa kazi hiyo wakiwa wabeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Mutensa kuutoa ndani ya nyumba yake na kuuleta nje katika Ukumbi, Tayari kwa kuombewa Misa na Mazishi yake. Kikosi kazi Maalum wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mtensa Leonard kutoka ndani ya Nyumba kuelekea Ukumbini. Vijana Smart, watanashati, wakiwa wamevaa suti 'suit' Mbele ni Jamal Kalumuna(jamco) na Rahym Kabyemela wakiongoza wenzao njia.Misa ikiendelea ikiongozwa na Mchungaji KasimbaziWaombolezaji wakiendelea na MisaWaimbaji wa kwayaMc Mutakwa akiendelea na kazi yake kwa makini.Kwaya wakati wa MisaMwalimu Bube (Leo leo) rafiki wa karibu sana na Marehemu Mutensa akiteta jambo Jamal Karumuna(kushoto) akiwa na rafiki yake Rahim, Wote ni Moja Vijana wa kikosi maalum cha kubeba Jeneza la Marehemu Mutensa rafiki yao, Ambaye alikuwa mpiganaji mwenzao. Pongezi kubwa kwenu kwa juhudi zenu binafsi kuweza kuweka mambo sawa katika kifo cha Mwenzenu.Mr. Bube wakati anatoa historia fupi ya rafiki yake kipenzi Marehemu MutensaMwalimu Bube akiwa na Mtoto wa kwanza wa Marehemu Leonard Mutensa akimtambulisha mbele ya waombolezaji wakati wa Mazishi ya baba yake Mzazi. Mwalimu Bube akimtambulisha mtoto wa pili wa marehemu rafiki yake MutensaMtoto wa tatu nae (kulia)Mtoto wa mwisho.Mtoto wa pili kuzaliwa akitoa neno fupi kuhusu marehemu Baba yao.Watoto wa marehemu Mutensa wakiwa mbeleDj Max akitoa neno kwa niaba ya wafanyakazi wake marehemu katika Ukumbi wa Lina's Night Club, Ukumbi aliokuwa akiendesha kama Meneja marehemu Leonard Mutensa.Mama Mwainunu nae akitoa neno kwa niamba ya kikundi chao cha "Wanaumoja Kagera" ambao pia Marehemu Mutesa alikuwa akijumuika nao katika shughuli mbalimbali hapa Mjini Bukoba.Mzee ambaye pia alikuwa karibu na marehemu Leonard Mutensa nae alitoa neno.Mtoto wa kwanza wa marehemu Leonard Mutensa akitoa neno Katikati ni Mc Jerry akiteta jambo na baadhi ya Ndugu jamaa wa karibu na Familia ya Marehemu Mutensa aliyefariki hivi karibuni na kuzikwa nyumbani kwake Kyakailabwa nje kidogo na Mji wa Bukoba.Rafiki yake na Marehemu kutoka GeitaMjane wa marehemu Mutensa, Mama Linah WaombolezajiViongozi mbalimbali walijitokeza katika mazishi hayo kumuaga Marehemu Leonard Mutensa. Ni Mzee Rugaibura, Mzee Frank na Mzee Mchuruza.Watu kutoka Nje na Mkoa wa Kagera walijumuika katika Mazishi ya Marehemu L. MutensaWilly O. Ruta kutoka Ofisi ya Kiroyera Tours(kushoto) nae alijumuika na kulia ni Sharobaro wa Kihaya kutoka Jijini Mwanza akiwawakilisha na wenzao Kutoka Kundi la Futuhi.Dada mchekeshaji wa Futuhi nae alikuwepo nyumbaniBaadhi ya wafiwa wakiombeleza kifo cha ndugu yaoKaka yake na Marehemu David akisikitika kuondokewa na mdogo wake..ni Machungu mazitoDj Slay na Steve nao walijumuika katika mazishi hayo.Dada kutoka Mwanza, kulia CettyMc Mutakwa akipewa neno kwa karibu na Sharobaro wa Kihaya kutoka jijini Mwanza.Mkurugenzi wa Kitengo cha Ulinzi na Usalama cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Rwakatare(kulia) nae alikuwepo katika Mazishi hayo.Mkurugenzi wa shirika lisilo la Kiserikali la COSAD lililopo Marekani,Tanzania Bw Smart Baitan nae alikuwepo.Peter Mugisha ndugu na Marehemu(kulia) nae alitoka Jijini Dar es salaam kuja kumzika Kaka Yake Marehemu Leonard Mutensa.Marafiki wa marehemu Mutensa wakipita mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu kutoa heshima za mwisho.Mzee Mchuruza akimpa heshima yake ya mwisho Tutakukumbuka daima...Mr. Ben Kataruga na Mr Justuce Rugaibura (picha ya chini) wakiwa wametoka Jijini Dar es Salaam kushiriki shughuli ya mazishi ya rafiki yao marehemu Mutensa.Wakiendelea kutoa heshima zao.Willy O. Rutta nae alitoa heshia yake kwa mpambanaji mwenzake aliyemtoka Marehemu MutensaSharobaro wa Kihaya kutoka Futuhi Jijini Mwanza nae alikuja kumuaga rafiki yake. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.comSuper Self Mkude hapa aliongoza Wanabukoba Veteran kutoa heshima zao za mwisho kwa Mwanabukoba Veteran mwenzao. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.comKaka Mkuu Ernest Nyambo akitoa heshima za mwisho kwa rafiki yake kaka yake MutensaBukoba Veteran Queens nao walikuwepo hapo katika Mazishi ya Mwenzao aliyewatangulia mbele ya haki.Chama Umande Chama nae alitoa heshima zakeWanafamilia wakitoa heshima zao za mwisho.Mjane wa marehemu Mutensa, Mama Linah alishindwa kujizuia mbele ya Jeneza lililokuwa limebeba mwili wa Marehemu mumewe na kuamua kuchua muda. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.comNguvu ziliwaishia kabisa...mpaka wakasaidiwa kutoka eneo lilipokuwa jeneza la MarehemuNi majonzi matupu!Mama wa Marehemu, Mama Constansia kwa machungu nae akienda kutoa salamu zake za mwisho kwa mwanae akiongozwwa na kiongozi Ernest Nyambo.
Mamia ya Watu walijitokeza kwa wingi Wafanyakazi wake nao walitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa bosi waoMwenyekiti wa Kamati ya mazishi Bw.Self Super Mkude akitoa nenoKaka Mkuu Ernest Nyambo kutoka jijini Dar es Salaam nae alikuwepo katika kumuaga rafiki yake mkubwa Marehemu Mutensa leo Kyakailabwa Bukoba. Na hapa alikuwa akitoa neno, Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.com Wakisikiliza kwa makini neno kutoka kwa Ernest NyamboRafiki zake walikuwepo kumuaga Dada Anitha akisikitika kuondokewa na baba Yake Mdogo.Mr. Benny (kulia) nae alikuwepo katika mazshi hayo. Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.comWatoto wa Marehemu L. Mutensa wakiusindikiza mwili wa Baba yao kwenye Nyumba yake ya kupuzika.Wakiupeleka Kaburini.Mtoto wa marehemu akiwa ameshika picha ya marehemu baba yake.Wakiwa kwenye majonzi mazitoTayari Mwili wa Marehemu kuwekwa katika nyumba yake ya milele.
wakiteremusha mwili wa Marehemu kaburini nje ya Nyumba yake Kyakailabwa Rafiki yake Bube akishindwa kuamini macho yake kuondokewa na rafiki yake pacha hata siku aliyofariki usiku huo walikuwa wametoka kuonana jioni hiyo!Wakiweka udongo kaburini, Ni Peter Mugisha na Kaka David wote ni Ndugu wa Marehemu MuteMwanae wa pili nae aliweka udongo kumzika Baba yakeMjane wa Marehemu Mutensa akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mume wakeMama Mzazi wa Marehemu nae akiweka Shada la mauaTutakukumbuka Daima....Picha ya pamoja ilipiigwa..Picha na Faustine Ruta wa www.bukobasports.com
0 comments:
Post a Comment