Bw.Anord Nyabenda akionesha Ulimi wake namna ulivyokatwa kwa meno na mkewe. Imeelezwa kuwa chanzo ni wivu wa kimapenzi kati yake na mkewe. Hadi sasa mwanamke hajafika Hospitalini alikolazwa kwa matibabu ili kujulia hali mwenzake.
Home »
» WIVU NI NOMA: MWANAUME AKATWA ULIMI NA MKEWE-NGARA
0 comments:
Post a Comment