Home » » RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA SHULE YA SEMINARI KATOKE ALIYOSOMA

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA SHULE YA SEMINARI KATOKE ALIYOSOMA

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Akimuonyesha Mkewe Mama Janeth Magufuli kitanda alichokuwa akitumia kulala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera, ambapo amemweleza mkewe kuwa alivunja hilo dirisha na mpaka leo halikutengenezwa ambapo leo hii amekabidhi kiasi cha shilingi milioni moja ili kukarabati dirisha na madirisha mengine ya shule hiyo, Mh Rais yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, akiingia kwenye  Bweni alilokuwa akilala wakati akisoma kidato cha tatu katika shule ya seminari katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiongea na Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 Julai 2017.
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akisalimiana na kuwaaga Wanafunzi Shule ya Seminari Katoke iliyopo Biharamulo Mkoani Kagera wakati akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo, 19 julai 2017

1 comments:

GEORICHARD COMPANY LIMITED said...

shule hii kwani inafanyiwa ukaguzi maana BBC-SWAHILI walilipoti kuwa Mh. president alitoboa dirisha enzi zake za skuli na akamuonesha mkewe life la shule alipopigia kitabu. Cha kujiuliza tangu amalize shule hakuna ukarabati kwakweli TZ ndani ya skuli kuna vioja na vijimambo

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa