Home » » TTCL yasaidia tani 10 za Saruji kwa waathirika wa tetemeko Kagera

TTCL yasaidia tani 10 za Saruji kwa waathirika wa tetemeko Kagera


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu (wa pili kulia) akipokea sehemu ya msaada wa tani 30 za Saruji kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura ( wa tatu kulia). TTCL imekabidhi msaada huo wa tani 30 za mifuko ya saruji zenye thamani ya shilingi milioni 10 kusaidia jitihada za Serikali za kukarabati miundombinu mbalimbali iliyoathirika na tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani Kagera.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa