Home » » MHE. JENISTA MHAGAMA AFANYA ZIARA WILAYANI MISENYI MKOANI KAGERA NA KUWAPA POLE WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI.

MHE. JENISTA MHAGAMA AFANYA ZIARA WILAYANI MISENYI MKOANI KAGERA NA KUWAPA POLE WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHI.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Luteni Kanali Denice Filangali Mwila wakati alipowasili Wilayani kwake kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Luteni Kanali Denice Filangali Mwila (wa pili kulia) wakati alipowasili Wilayani kwake kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016. Kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Bw. Hassan Abbas.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa pili mbele) akiwa ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Luteni Kanali Denice Filangali Mwila wakielekea kuangalia eneo la Shule Msingi Bieju ya Kata ya Mtukula wakati alipowasili Wilayani kwake kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akiangalia athari ya tetemeko katika eneo la Shule ya Msingi Bieju Kata ya Mtukula wakati alipowasili Wilayani Misenyi kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akipokea maelezo juu ya idadi na thamani ya uharibifu katika shule ya Sekondari Mtukula toka kwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Luteni Kanali Denice Filangali Mwila wakati alipowasili Wilayani hapo kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Luteni Kanali Denice Filangali Mwila wakimpa pole Bibi Sima Patrick wakati alipowasili Wilayani hapo kwa ajili ya ziara ya kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiangalia jiwe la mpaka kati ya nchi ya Tanzania na Uganda wakati alipofanya ziara Wilayani Misenyi kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) akiongea na wakazi wa Kata ya Bugandika, Wilayani Misenyi wakati alipofanya ziara Wilayani hapo kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akiongea na Wanafunzi Yatima Kata ya Bugandika, Wilayani Misenyi wakati alipofanya ziara Wilayani hapo kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi Yatima Kata ya Bugandika, Wilayani Misenyi pamoja na walimu wao wakati alipofanya ziara Wilayani hapo kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brig. Jen. Mbazi Msuya wakimfariji mjane aliyeathiriwa na tetemeko la ardhi Wilayani Misenyi wakati alipofanya ziara Wilayani hapo kushuhudia baadhi ya maeneo yaliyoathirika na tetemeko la ardhi Mkoani Kagera leo 21 Septemba, 2016.
(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa