Home » » VIONGOZI WA UKAWA WATOA MISAADA YA DHARURA KWA WAHANGA WALIOTHIRIKA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

VIONGOZI WA UKAWA WATOA MISAADA YA DHARURA KWA WAHANGA WALIOTHIRIKA NA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA

 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akitazama baadhi ya majengo yaliyoathirika na Tetemeko
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe(Kulia), na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Mhe. James Mbatia (kushoto kwake) wakiwa eneo la tukio
 Mbunge wa Bukoba mjini,Mhe. Wilfred Lwakatare (katikati) jana amewaongoza,Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Mhe. James Mbatia (kushoto kwake), viongozi wa Chama na Serikali kutemebelea wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea Jumamosi 10/9/2016,Mkoani Kagera.
Viongozi hao wa UKAWA wametoa misaada ya dharura kwa wahanga, ambapo Mhe. Mbowe ameondoka,Jumanne 13/9/2016 kuendelea na shughuli za kikazi ikiwemo kuhudhuria vikao vya Bunge, huku Mhe. Mbatia akiendelea kuwatembelea wahanga hao.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa