Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Bahati maarufu kwa uuzaji wa mifuko ya plastiki maeneo ya stand kuu ya mabasi Bukoba amekutwa kajinyonga juu ya mti maeneo ya ufukwe wa Spice Motel majira ya saa nane mchana ..
Chanzo: Dj Sek Blog
Taarifa za awali kutoka kwa watu
waliokuwa katika tukio hilo zinasema kuwa , kabla ya kifo cha, marehemu alionekana akiwa na mafurushi ya vitu na
alikuwa akifua katika eneo hilo la ufukwe...
Mtu mmoja ambae hakuwa tayari
kutaja jina lake ameueleza mtandao huu kuwa leo majira ya saa 12.00asubuhi alisalimiana na
marehemu maeneo ya stand ya mabasi akiendelea na shughuli yake ya
kutembeza mifuko ya plastiki kwenye mabasi yaendayo mikoani na
maeneo mengine akiwa mzima wa afya.
Mwili wa marehemu umepelekwa Hospital
ya Mkoa wa Kagera kuifadhiwa kwa ajili ya utambuzi ( ndugu zake )
Askari akiwa amepanda mti ili aweze kukata kamba aliyotumia kujinyonga
Amekutwa katika hali hii
Haijafahamika ni kwa nini kachukua maamuzi haya
Mwili wa marehemu ukishushwa
Kamanda wa polisi wilaya ya Bukoba akishuhudia tukio
Wananchi waliokusanyika katika tukio
Mkuu wa kituo cha polisi Bukoba(mwenye koti) akiwa anaangalia baadhi uya vitu vya marehemu alivyokuja navyo kabla ya kujinyonga
Hivi ni vitu vya marehemu alivyokuja navyo babla ya kujinyonga
Maeneo ya spice beach
Mmoja wa watu wa kwanza kutoa taarifa kituo cha polisi Mama Faima
Mwili wa marehemu ukipakiwa kwenye gari la polisi
Mwili wa marehemu ukipelekwa kuifadhiwa hospital ya mkoa wa kagera
0 comments:
Post a Comment