Home » » BINTI WA KIHAYA ABELA ATAMBA MAREKANI, ANGALIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA, BALL & CHAIN

BINTI WA KIHAYA ABELA ATAMBA MAREKANI, ANGALIA VIDEO YA WIMBO WAKE MPYA, BALL & CHAIN


Video mpya ya Abela inaitwa Ball & Chain. Binti huyu ambaye jina lake kamili ni Abela Kibira ana kipaji cha utunzi na uimbaji, Abela ni mzaliwa wa Bukoba, 
Tanzania lakini kwa sasa anaishi Minneapolis, Marekani.
 
Binti huyu anasauti nzuri, tena ya kipekee na ya kuvutia na kutokana na wimbo wake huu kupendwa na wengi kuna kila dalili za kuteka soko la muziki duniani.Heko Bukoba, Heko Tanzania




0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Kagera Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa