Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo.
Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza wakati wa ripoti ya CAG kwenye manispaa ya mji wa bukoba leo
Wa kwanza kulia ni Meya wa Manispaa ya Bukoba,Bwana Anatory Amani aliyewajibishwa kwenye ripoti ya CAG na pia inamtaka ajiuzuru
Kikao kikiendelea
0 comments:
Post a Comment